Suala la annual icrement Tanzania

Suala la annual icrement Tanzania

faru rajabu

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2019
Posts
221
Reaction score
355
hivi hili suala la annual increment kwa Tanzania ni la kikatiba au limekaa vipi? Mbona serikali imepiga kimya na kila mtu kapotezea as if halikuwahi kuwepo hapo kabla?

Nielimisheni
 
Ukiona wako kimya jua kuna sehem wanajilipa...
 
Annual increment za nini? Piga kazi mkuu na mshukuru Mungu tuna Raisi mwema
 
hivi hili suala la annual increment kwa Tanzania ni la kikatiba au limekaa vipi? Mbona serikali imepiga kimya na kila mtu kapotezea as if halikuwahi kuwepo hapo kabla?

Nielimisheni
Annual increament ni mpaka raisi ahamue kwa sasa pesa tumzielekeza nunulia ndege na kujenga miradi ya maendeleo
 
Back
Top Bottom