ikhlas JF-Expert Member Jun 25, 2015 1,049 1,301 May 16, 2016 #1 Jamani naomba kuuliza, wanasiasa wetu walilipigia sana kelele suala la ajira kwa madereva wetu hapa nchini pamoja na bima zao..sasa naona kimyaaaaaaa je wamefikia wapi? Au ndo unasubiriwa msimu ufike ndo tuanze tena kukurupuka?
Jamani naomba kuuliza, wanasiasa wetu walilipigia sana kelele suala la ajira kwa madereva wetu hapa nchini pamoja na bima zao..sasa naona kimyaaaaaaa je wamefikia wapi? Au ndo unasubiriwa msimu ufike ndo tuanze tena kukurupuka?
MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,701 71,051 May 16, 2016 #2 Wanasiasa wa chama kipi?, maana kuna vyama vya siasa na chama cha mafisadi