Ngida1
JF-Expert Member
- Aug 25, 2009
- 586
- 206
Kama tujuavyo kuwa Katiba ya Zanzibar inaweka wazi kuwa Zanzibar itakuwa na serikali ya Umoja wa Taifa inayoundwa na mshindi wa uchaguzi na aliyeshindwa.
Kutokana na uchaguzi huu wa 2015 tunajua wazi kuwa CUF haitopewa ushindi na kwahivyo Maalim Seif hatokubali kuwa sehemu ya serikali ya Dr Shein, suala ni kuwa, je, Dr Shein peke yake ataweza kuunda serikali kutokana na Katiba iliyopo?
Kama Dr Shein hatoweza, je, Zanzibar itaweza kukaa bila ya serikali kwa muda gani?
Au kitatokea kitu gani hapa hata business iwe as usual?
Rais mpya wa Tanzania atakaechaguliwa atafanya nini juu ya suala hili kwenye backyard yake?