Mbonea mweta
Senior Member
- Sep 4, 2018
- 140
- 40
hivi kama umepata chuo hapo SUA tena fourth batch. ....vp unatakiwa uripoti lini? Kama kuna maelezo mwngne npeMkuu karibu sana SUA,upo Main au Mazimbu
Kama na wewe ni mwanafunzi wa SUA na una andika hivi basi tutegemee wasomi mabomu Tz.Yani SUA ni chuo bora wanafunzi hawajafanikiwa lakini wamepewa malazi tena kwa ubora Viva SUA viva
hivi kama umepata chuo hapo SUA tena fourth batch. ....vp unatakiwa uripoti lini? Kama kuna maelezo mwngne npe
hivi mbona acc yangu ya SUASIS inagoma kufunguka toka jana hii shida iko kwangu 2 au!?
Point ya ajabu sana. Sio kila mwanachuo anajifunza uandishi.Huyu nae yupo chuo.HV kweli Tanzania ya viwanda itawezekana kweli?
The problem hauko updated fika registration office then watakusaidia unachotaka wao sio network
We nahisi wa UDOMUbora katika nyanja ipi fafanua bs mkuu
We WA lini MKUU??au ndo nyie vilazaWasomi wa siku hizi bhana
Awahi kuja alipe direct costs then anakuwa registeredKuna ndugu yangu atachelewa kuripot kutokana Niko kweny mahangaiko kumtaftia je atapata hostel apo ?
We uko wapi mtanzania mwezangu ?Huyu nae yupo chuo.HV kweli Tanzania ya viwanda itawezekana kweli?