Yohane leonard
Member
- Oct 22, 2016
- 47
- 29
hakunaaaaKwani SUA hamna serikali ya wanafunzi??
Chuo chenye hadhi kama sua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daah watu tunakeshea mikate na maembe....in short hali c gud kbxaaaah
Daah watu tunakeshea mikate na maembe....in short hali c gud kbxaaaah
Ila tunaisoma nambaHatunywi sumu
duh mkuu acha tu ni hatareeepoleni aseee sana.
ahahahadah ngoja niendelee kula maembe tu hapa,Sua