Mojamoja01
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 357
- 660
Bhh
Chuo sio kigumu ka unajua kuipangilia ratiba na kuiheshimu yaani kua sehemu sahihi kwa wakati sahihi kumaliza kazi unazopewa kwa wakati mbn utakula sana BataChuo kigumu sana, wanaosema chuo bata, huwa nawaangalia afu nawatukana kimoyo moyo..
mkuu umenikumbusha mbali sana huu msemo wa kuwa sehemu sahihi ukifanya jambo sahihi kwa wakati sahihi daaa maisha ya chuo acha tu .Chuo sio kigumu ka unajua kuipangilia ratiba na kuiheshimu yaani kua sehemu sahihi kwa wakati sahihi kumaliza kazi unazopewa kwa wakati mbn utakula sana Bata
Yani mnalia ndio kwanza hata registration hamjamaliza?Chuo kigumu sana, wanaosema chuo bata, huwa nawaangalia afu nawatukana kimoyo moyo..
Kwni wewe mlalamikaj uko WAP?
Hahaha.... Akisema chuo bata wewe unaachana naye mzee... Akishapata supp za kutosha / carryover anakuwa na adabu yeye mwenyewe.Chuo kigumu sana, wanaosema chuo bata, huwa nawaangalia afu nawatukana kimoyo moyo..