wilsonilanga
Member
- May 26, 2013
- 79
- 14
Wanafunzi wa first year sokoine university of agriculture tukutane hapa kubadilishana mawazo naomba kuwasilisha maada
Fafanua vizuri ueleweke halafu tofautisha course na program..!hoyah hv hyo coz ya agriculture wanachukua kuanzia point ngp 4m6
Fafanua vizuri ueleweke halafu tofautisha course na program..!
Hapa kuna coz nyngi tu na siyo agriculture tu na hiyo agriculture ni engeneering agriculture pia kuna coz za uwalimu masomo ya sayansi isipokuwa somo la physics katika point kwa upande wa coz ya agriculture engeneering ni kuanzia 5 na kuendelea na uwe umefaulu vizuri somo la physics pia chuo hiki hakina bata hata iwe coz ya uwalimu hapa ni kazi tu grade ya ufaulu katika somo chuo hiki ni 50 ukipata below ujue umefeli chini na 50
Utaratibu umebadirika huko sua? Maana qualifications za kozi zote zilikuwa ni flat ambazo ni 4 points, kwa kozi za engeneering Kama hauna physics au chemistry advance basi o level uwe umepata C na kuendelea hasa kwa watu wenye EGM, kuhusu bata mbona watu wanakula tu bata vizuri maisha club kihonda hapo, ila kiujumla SUA si pakitoto yaani panahitaji msuli haswaa.Hapa kuna coz nyngi tu na siyo agriculture tu na hiyo agriculture ni engeneering agriculture pia kuna coz za uwalimu masomo ya sayansi isipokuwa somo la physics katika point kwa upande wa coz ya agriculture engeneering ni kuanzia 5 na kuendelea na uwe umefaulu vizuri somo la physics pia chuo hiki hakina bata hata iwe coz ya uwalimu hapa ni kazi tu grade ya ufaulu katika somo chuo hiki ni 50 ukipata below ujue umefeli chini na 50
Hakikisha unapata points nzuri hiyo kozi wanaoomba ni wengi. HGE unasoma hiyo AEA.Kwahiyo mtu aliyesomea HGE advance ataweza kusoma hiyo agriculture economics