SUA first year students tukutane hapa

SUA first year students tukutane hapa

je coz ya irrigation & water resource eng, vigezo vkoje?
Kama umesoma egm basi o level uwe umepata c phy na chem Advance uwe umepata at least 4 points, download TCU guidebook mule utapata Maelezo zaidi.
 
Kuna prof mmoja anasemaga SUa Ni chuo cha washamba. Hiv ni kweli?
 
srry aisee... kwa hiyo hata aliyesoma ECA nae anaweza kusoma hiyo AEA??????...

VIGEZO;-

Two principal passes in Economics/Mathematics/Geography/Commerce/Accounts/Physics/Chemistry Agriculture/ Biology/Zoology/Botany.

Candidates must have at least a pass in mathematics at O-level

KARIBU DARASANI
 
ok kiongoz nmekua selected kusomea ECA mwaka huu na napenda sana kuja kusomea hiyo kitu....
 
samahan kwa swali langu je MTU kama amesoma CBN anaweza akasoma kwenye hicho chuo? je anaweza akasoma kozi zp? nitashukuru kwa jibu lako
 
samahan kwa swali langu je MTU kama amesoma CBN anaweza akasoma kwenye hicho chuo? je anaweza akasoma kozi zp? nitashukuru kwa jibu lako

Ndiyo anaweza, baadhi ya kozi ambazo anaweza kusoma ni;-
Human nutrition, Food science, Agriculture general, horticulture, agronomy, animal science, ualimu wa masomo ya sayansi (biology na chemistry), wildlife, tourism management, forest, vet medicine (naishia hapo, nimechoka kutaja)
Hebu tafuta guidebook ya TCU (sio lazima iwe ya mwaka huu) au prospectus ya SUA utapata maelezo kwa kina.

Ubarikiwe.
 
Back
Top Bottom