Sua kuna engineering?makubwaa
nyie msiojuwa kuwa SUA kuna engineering mtakuwa mamburula tu. Agricultural engineering inaitwa. fahamuni sasaHata mimi nashangaa hapa. Tangu lini kukawa na engineering SUA?
Hata mimi nashangaa hapa. Tangu lini kukawa na engineering SUA?
Sua kuna engineering?makubwaa
nyie msiojuwa kuwa SUA kuna engineering mtakuwa mamburula tu. Agricultural engineering inaitwa. fahamuni sasa
eti SUA hamna engineering kama hauna data kaa kimya pumbafu...
haupo updated ww
Wewe inaonekana ukiangalia mbele unaona mawingu yameungana na ardhi na unajua ndo mwisho wa Dunia.
Kama ungekuwa unaishi Dar es salaam hakika usingejua kwamba posta siyo katikati ya jiji la Da es salaam.
akili yako imelala usikalili na umri wako wote hujui kua sua kuna engineeringsua kuna engineering?makubwaa
Hata mimi nashangaa hapa. Tangu lini kukawa na engineering SUA?
Wakuu hivi mtu akiuliza kumjibu hadi utukane??? Unapungukiwa nini kujibu swali au kutoa maeleza bila maneno ya dharau??? Great thinking ndio iko hivyo?
Sua kuna engineering?makubwaa
Hata mimi nashangaa hapa. Tangu lini kukawa na engineering SUA?
Yawezekana haujawahi kutembelea webpage hii hapa>>>Agricultural Engineering and Land Planning
Sua kuna engineering?makubwaa
Tatizo ndugu yangu umeuliza kwa nyodo na sio kwa kutaka kufahamu! Umeuliza kwa staili ya kudharau lakin ile depart pale ni ya zamani sana, wala si kama hizi za sasa zinazonzishwa kibiashara!Wakuu hivi mtu akiuliza kumjibu hadi utukane??? Unapungukiwa nini kujibu swali au kutoa maeleza bila maneno ya dharau??? Great thinking ndio iko hivyo?
Wakuu hivi mtu akiuliza kumjibu hadi utukane??? Unapungukiwa nini kujibu swali au kutoa maeleza bila maneno ya dharau??? Great thinking ndio iko hivyo?
Wakuu hivi mtu akiuliza kumjibu hadi utukane??? Unapungukiwa nini kujibu swali au kutoa maeleza bila maneno ya dharau??? Great thinking ndio iko hivyo?
Tatizo ndugu yangu umeuliza kwa nyodo na sio kwa kutaka kufahamu! Umeuliza kwa staili ya kudharau lakin ile depart pale ni ya zamani sana, wala si kama hizi za sasa zinazonzishwa kibiashara!
mkuu kama haupo updated ndo kusema usiambiwe! Ww upo tanzania ipi mpaka usijue sua kuna eng