SUA college of Engineering wafanya kikao cha kujua hatima ya boom.

Kwenye vikao huji ila huku unapost kam kawa.......!! sio mbaya tutafight hata kwaajili yako...
 
Umesoma engineering ya wapi hiyo, leo ukimuuliza mtu wa MUHAS atakwambia sua kuna VET sasa engineer yupi ambaye hajui SUA kuna engineering. kwa taarifa yako ni kwamba ilianzishwa mwaka 1974.
 
Wakuu hivi mtu akiuliza kumjibu hadi utukane??? Unapungukiwa nini kujibu swali au kutoa maeleza bila maneno ya dharau??? Great thinking ndio iko hivyo?

swali lake la kijinga anauliza as if he know something!!!!! why anashindwa kufanya evaluation kabla ya kuliza kwa arrogant hivyo!!!!!
 
Wakuu kama mmenichukulia kwamba nimeuliza kwa dharau sorry ila mimi pia nimesoma engineering na sikuwahi kusikia kama huko kuna engineering pia. Asanteni now I know

expert gani umeshindwa hata kufanya utafiti mdogo kama huo vijaja wana hitimu kidato cha sita hayo ndio maswali yao sasa wewe engineer I am worrisome with ur credibility!!!!!!
 
expert gani umeshindwa hata kufanya utafiti mdogo kama huo vijaja wana hitimu kidato cha sita hayo ndio maswali yao sasa wewe engineer I am worrisome with ur credibility!!!!!!

sasa we umeandika nini hapa?? Nani kasema ni expert?? unajua maana ya expert kweli? hiyo worrisome ndio Lugha gani?
Rubish
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom