SUA college of Engineering wafanya kikao cha kujua hatima ya boom.

SirJoaz

Member
Aug 28, 2012
93
95
Hawa ndo wahandisi ambao kwa namna moja ama nyingine wanaumia sana kuona haki haitendeki kwa mnyonge, maamuzi ni kuonana na dvc asbuhii hii kama hana jibu cjui jitakacho endelea. where there is no vision people perish
 
Tychob

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
1,937
2,000
eti SUA hamna engineering kama hauna data kaa kimya pumbafu...
 
onduru ogy

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,125
2,000
Sua kuna engineering?makubwaa

Wewe inaonekana ukiangalia mbele unaona mawingu yameungana na ardhi na unajua ndo mwisho wa Dunia.

Kama ungekuwa unaishi Dar es salaam hakika usingejua kwamba posta siyo katikati ya jiji la Da es salaam.
 
Msubhate

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,052
2,000
SuA hamwezi GomA.... bado mna ulE uoGA wa primaRy.... kamA kwelii mnauwezo wa KuGomA ya nini mlie liE onesHeni vitendo bhaNa...... na si blah blah
 
Mu-sir

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
3,624
2,000
nyie msiojuwa kuwa SUA kuna engineering mtakuwa mamburula tu. Agricultural engineering inaitwa. fahamuni sasa

eti SUA hamna engineering kama hauna data kaa kimya pumbafu...

haupo updated ww

Wewe inaonekana ukiangalia mbele unaona mawingu yameungana na ardhi na unajua ndo mwisho wa Dunia.

Kama ungekuwa unaishi Dar es salaam hakika usingejua kwamba posta siyo katikati ya jiji la Da es salaam.

Wakuu hivi mtu akiuliza kumjibu hadi utukane??? Unapungukiwa nini kujibu swali au kutoa maeleza bila maneno ya dharau??? Great thinking ndio iko hivyo?
 
SirJoaz

Member
Aug 28, 2012
93
95
Kama hujui kitu uliza ili uelimishwe, Tanzania nzima hakuna chuo chochote kinachotoa wahandisi kilimo isipokua SUA tu. We unayeshangaa may be upo form one make mtu akiwa form one mawazo yake yanaishia o level.
 
TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
16,108
2,000
Wakuu hivi mtu akiuliza kumjibu hadi utukane??? Unapungukiwa nini kujibu swali au kutoa maeleza bila maneno ya dharau??? Great thinking ndio iko hivyo?

Hivi mtu akiuliza swali kama hili

Sua kuna engineering?makubwaa

ama akatoa msemo kama huu na kufuatia na swali la namna hiyo

Hata mimi nashangaa hapa. Tangu lini kukawa na engineering SUA?

Utamuelewaje? lazima mjifunze namna ya kuuliza maswali kwa staha.

NIKIRUDI KWENYE MADA

Utaratibu wa kikao ni mzuri....maana unalenga kupata muafaka wa suala husika. Lakini kikao hicho kifanyike kwa kuwa na ajenda ya kupata suluhisho la tatizo. Suluhisho litapatikana kwa amani kama wale watakao kuwa kwenye kikao hawatakuwa na mawazo ya kuwa wao ni wanyonge na hawatendewi haki. Mawazo haya yatasababisha tatizo lisitatuliwe, kwani ghadhabu itakuwa rahisi kutibuliwa na mazungumzo kuvunjika na hapo ndipo Vurugu na migomo na makunji na kupotezeana muda kwa walimu, wanafunzi na wafanyakazi waendeshaji vitakapo tokea.

Msingi wa majadiliano uwe ni kuambiana ukweli ....ili pande zote zifikie muafaka haraka
 
SirJoaz

Member
Aug 28, 2012
93
95
If you have no data don't comment, fatilia kwanza ndo uanze kucomment make kuna watu mnakulupuka tu kukoment kabla hujafikilia.think twice kijana
 
NasDaz

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,274
2,000
Wakuu hivi mtu akiuliza kumjibu hadi utukane??? Unapungukiwa nini kujibu swali au kutoa maeleza bila maneno ya dharau??? Great thinking ndio iko hivyo?
Tatizo ndugu yangu umeuliza kwa nyodo na sio kwa kutaka kufahamu! Umeuliza kwa staili ya kudharau lakin ile depart pale ni ya zamani sana, wala si kama hizi za sasa zinazonzishwa kibiashara!
 
Manmura

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
749
250
Wakuu hivi mtu akiuliza kumjibu hadi utukane??? Unapungukiwa nini kujibu swali au kutoa maeleza bila maneno ya dharau??? Great thinking ndio iko hivyo?

mkuu kama haupo updated ndo kusema usiambiwe! Ww upo tanzania ipi mpaka usijue sua kuna eng
 
Mu-sir

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
3,624
2,000
Tatizo ndugu yangu umeuliza kwa nyodo na sio kwa kutaka kufahamu! Umeuliza kwa staili ya kudharau lakin ile depart pale ni ya zamani sana, wala si kama hizi za sasa zinazonzishwa kibiashara!

mkuu kama haupo updated ndo kusema usiambiwe! Ww upo tanzania ipi mpaka usijue sua kuna eng

Wakuu kama mmenichukulia kwamba nimeuliza kwa dharau sorry ila mimi pia nimesoma engineering na sikuwahi kusikia kama huko kuna engineering pia. Asanteni now I know
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom