Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,580
Sokoine University of Agriculture (SUA) wana utaratibu mbaya sana wa bima za afya, tuliosoma UDSM ilikuwa ni lazima kila mwanafunzi ajiunge (NHIF) yani National Health Insurence Fund ambayo inamwezesha mwanafunzi kupata tiba katika hospitali za uma na binafsi kokote nchini ambazo zimeunganishwa na mfumo wa NHIF.
Kwa SUA ipo tofauti kwani wao wana bima yao ambayo inatumika ndani ya hospitali za chuo tu na nje ya hapo mtu hawezi kupata matibabu kokote mbaya zaidi hospitali zenyewe chuoni hapo hazikidhi uhitaji wa huduma za wanafunzi katika magonjwa yote kitu ambacho huwafanya wanafunzi wakikosa huduma pale waende hospitali za nje ya chuo kupata huduma kwa kulipia.
Nini maana ya bima zao?