Style ya mapigo na mwendo nimeikubali

Tazama ramani utaona nchi nzuri
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka,
Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri,
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2.

2. Chemchem ya furaha amani nipe tumaini,
Kila mara niwe kwako nikiburudika,
Nakupenda sana hata nikakusitiri,
Nitalalamika kukuacha Tanzania.
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2

3. Nchi yenye azimio lenye tumaini,
Ndiwe peke yako mwanga wa Watanzania,
Ninakuthamini hadharani na moyoni,
Unilinde name nikulinde hata kufa.
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere
 
Aisee unaishi wapi kwa sasa tunakutafuta, nyinyi wabakaji ndiyo tunaowatafuta.....selo waume zenu wamejaa wakiwasubiri.
 
Leo jaribu kumpiga style ya singida- Dodoma
 
Baba Levo akiwa Mbunge basi ni sawa, kama hawa ndio vijana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…