masanzu JF-Expert Member Joined May 6, 2013 Posts 605 Reaction score 219 Aug 26, 2019 #1 Leo wanasimba kwenye vibanda vya magazeti walikuwa wanasoma vichwa vya habari Kama wako kwenye kumuaga marehemuππππππππ
Leo wanasimba kwenye vibanda vya magazeti walikuwa wanasoma vichwa vya habari Kama wako kwenye kumuaga marehemuππππππππ
Baba Swalehe JF-Expert Member Joined Jun 6, 2017 Posts 20,298 Reaction score 40,100 Aug 26, 2019 #2 Huu uzi kama hawajaona
The real Daniel JF-Expert Member Joined Jan 5, 2017 Posts 2,144 Reaction score 8,027 Aug 26, 2019 #3 Watani mjue kwamba vipigo vingine tuliwez kujitahidi kujibu kebehi zenu za kimpira, ila cha jana, hakuna mwenye uwezo wa kuwajibu watani, na athari zake zitadumu msimu huu wote
Watani mjue kwamba vipigo vingine tuliwez kujitahidi kujibu kebehi zenu za kimpira, ila cha jana, hakuna mwenye uwezo wa kuwajibu watani, na athari zake zitadumu msimu huu wote
N nkese JF-Expert Member Joined Mar 8, 2017 Posts 3,066 Reaction score 2,813 Aug 26, 2019 #4 masanzu said: Leo wanasimba kwenye vibanda vya magazeti walikuwa wanasoma vichwa vya habari Kama wako kwenye kumuaga marehemuππππππππ Click to expand... Sijaona mtu anafurahia jamaa mwingine kuoa na yeye kufurahia kuzidi muoaji! Mashine apige yule wewe meno njeeeee! Bure kabisa.
masanzu said: Leo wanasimba kwenye vibanda vya magazeti walikuwa wanasoma vichwa vya habari Kama wako kwenye kumuaga marehemuππππππππ Click to expand... Sijaona mtu anafurahia jamaa mwingine kuoa na yeye kufurahia kuzidi muoaji! Mashine apige yule wewe meno njeeeee! Bure kabisa.
Espy_ JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 91,897 Reaction score 183,239 Aug 26, 2019 #5 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]