MPHINGU JF-Expert Member Oct 6, 2016 518 613 Feb 10, 2017 #1 angalia rais wa kenya anavo onyesha uwezo wake wa kuimba na kucheza mziki wa Kizazi kipya Attachments 16670150_213981102403728_845184147205914624_n.mp4 2.4 MB · Views: 30
MOTOCHINI JF-Expert Member Jan 20, 2014 27,778 30,748 Feb 10, 2017 #2 Bamba kura yako!! Kifanyike nje ila kikifanyika Tanzania Inakuwa ndio hoja ya upinzani Kumkosoa Rais!!
Bamba kura yako!! Kifanyike nje ila kikifanyika Tanzania Inakuwa ndio hoja ya upinzani Kumkosoa Rais!!
yolk Senior Member Jan 29, 2017 137 240 Feb 10, 2017 #3 Nimeipenda bure! Maana wa kwetu sisi alipiga Push-ups jukwaani..! Kenyata anaendeleza tu mahali ambapo wa kwetu aliishia
Nimeipenda bure! Maana wa kwetu sisi alipiga Push-ups jukwaani..! Kenyata anaendeleza tu mahali ambapo wa kwetu aliishia
MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,701 71,034 Feb 10, 2017 #4 Anacheza vizuri sana, huku kwetu tungeona pushups za kufa mtu, utafikiri tunachagua baunsa
bananga JF-Expert Member Oct 2, 2013 658 333 Feb 10, 2017 #5 MOTOCHINI said: Bamba kura yako!! Kifanyike nje ila kikifanyika Tanzania Inakuwa ndio hoja ya upinzani Kumkosoa Rais!! Click to expand... Watamkosoa wenyewe huko Kenya sisi hayatuhusu Tunaangalia tu video tunaburudika na kusepa
MOTOCHINI said: Bamba kura yako!! Kifanyike nje ila kikifanyika Tanzania Inakuwa ndio hoja ya upinzani Kumkosoa Rais!! Click to expand... Watamkosoa wenyewe huko Kenya sisi hayatuhusu Tunaangalia tu video tunaburudika na kusepa
Toxic Concotion JF-Expert Member Aug 5, 2015 5,736 20,733 Feb 10, 2017 #6 Nini cha ajabu sasa? Wa kwetu alipiga push up kama bondia cheka