Style Mpya ya Wafanyakazi kuwatesa watoto wadogo hiyo hapo.....

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,449
33,354
10428538_807428279316201_3494048151483758014_n.jpg
 
Jamani watoto wetu ni M"mungu tu anawalinda lakini hawa wadada ni shida kwa kweli 90% si wazuri kwa malezi hata kwa afya zetu
 
hapo itakuwa kalikojoa so kameanikwa kakauke ukirudi unakuta nguo imekakamaa na harufu ya mikojo ya tangu ulipoondoka asubuhi mpk jioni...kaz kwelkwel
 
waongezeni mshahara, wanafanya kazi za kingese halafu mnawalipa elfu thelathini, si ujuha huu...

Shwain..
 
Sidhani kama uzito wa mtoto kama huyo kweli unaweza kubebwa na vibanio vya kuanikia nguo....
 
Back
Top Bottom