Style mpya ya Upandaji miti kwa wanasiasa

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,445
2,000
Mbunge wa jimbo la Tabora kaskazini, Almas Maige, akipanda mti katika zahanati ya Migungumalo, kata ya Usagali, wilayani Uyui leo katika kilele cha maadhimisho ya miaka 42 ya CCM mkoani Tabora. Picha na Robert Kakwesi #MwananchiUpdates]
FB_IMG_1549712798712.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,777
2,000
Mbunge wa jimbo la Tabora kaskazini, Almas Maige, akipanda mti katika zahanati ya Migungumalo, kata ya Usagali, wilayani Uyui leo katika kilele cha maadhimisho ya miaka 42 ya CCM mkoani Tabora. Picha na Robert Kakwesi #MwananchiUpdates] View attachment 1017745

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaacha kupanda na kugawa miti ya matunda kwa wananchi wanapanda misonobali, mikambokambo, minsumbi, mikaratusi, ona sasa anapanda mti utafikiri anapiga pushups, maccm sijui yakoje
 

Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
14,332
2,000
Dah!Jamaa tapeli kimbwa!Ila huu ndiyo wakati wa MaCCM kuomba kura huku yanagaragara,kupiga tu-pushapu au kupiga magoti.Bangi haiwaachi salama.
 

leveroi

JF-Expert Member
Sep 23, 2016
376
500
Mimi nafikiri ni vizuri tu watu kama hawa wakachunguzwa kama kichwani wapo salama. Ni aibu kuonyesha mfano wa kufanya kazi za shamba huku umelala kwenye mkeka safi kama upo unaperuz kwenye simu yako ukiwa kitandani. Na hapo ataondoka kwa sifa kuwa ameshiriki kwa juhudi kubwa kupanda huo mti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom