Style mpya ya nywele.

Hahaha mtu kaweka weaving au kuvaa wigi anasifiwa nywele zako nzuri na ana furahia
wanawake bhana alaf unaweza kuta wamekaa na kupeana maneno

utasikia.........oooh shosti umependeza kama nini yana kwa kushauriana pumba hawajambo
 
wanawake bhana alaf unaweza kuta wamekaa na kupeana maneno

utasikia.........oooh shosti umependeza kama nini yana kwa kushauriana pumba hawajambo
Alafu unaambiwa gharama zakusuka hizo pumba ni shilingi elfu hamsini
 
mimi mke ni marufukuku kutia nywele za bandia kichwani mwake. watu wamenyoa maiti huko ughaibuni halafu huku tz mtu anaweka kichwani et urembo.
 
Dunia inakwenda kwa kasi. Hapo anajiona amependeza. Kuna mtu mmoja jinsia ya kiume , alivyo mpumbavu atamwambia amependeza
 
Hizo ndio fasheni za kisasa, za Kiafrika,
ivi mpaka waanze Wazungu ndo tuone nzuri ?
Hongera wadada ongezeni ubunifu wa Kiafrika hadi wazungu waige.
Kesho mje na msuko wa Boga au parachichi. Wajuute kuwafahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…