Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 278,618 1,128,582 Mar 11, 2017 Thread starter #5 Fasheni ctc database said: Jamani uchafu gani huu Click to expand...
Ranks JF-Expert Member Oct 21, 2012 2,583 1,097 Mar 11, 2017 #7 Kwa rangi hiyo ya chama chakavu kichwani kwangu haingii hata awe nani.
milioni milioni JF-Expert Member Mar 25, 2013 1,845 1,063 Mar 12, 2017 #8 Bora Huyu Kuna Mmoja Alipaka Maparachichi Yangu Kwenye Nywele Akili Zao Wanazijua Wenyewe.
Shadeeya JF-Expert Member Mar 12, 2014 49,249 117,645 Mar 12, 2017 #9 Wanawake tuna kazi sasa ndio nini hiko?
kusangala Member Mar 4, 2017 60 26 Mar 12, 2017 #10 Km ni mke wang nakata hzo nywele kwa mkasi,,staki upumbaavu
themanhimself176 JF-Expert Member Dec 28, 2016 1,803 2,825 Mar 12, 2017 #12 wanawake bhana alaf unaweza kuta wamekaa na kupeana maneno utasikia.........oooh shosti umependeza kama nini yana kwa kushauriana pumba hawajambo
wanawake bhana alaf unaweza kuta wamekaa na kupeana maneno utasikia.........oooh shosti umependeza kama nini yana kwa kushauriana pumba hawajambo
hebrews Senior Member Mar 11, 2017 168 258 Mar 12, 2017 #13 Wanawake kweli akili zenu bora hata ya mtoto wa darasa la pili
mjombaaa Member Feb 23, 2017 68 77 Mar 12, 2017 #14 hebrews said: Wanawake kweli akili zenu bora hata ya mtoto wa darasa la pili Click to expand... Wakike au wakiume?
hebrews said: Wanawake kweli akili zenu bora hata ya mtoto wa darasa la pili Click to expand... Wakike au wakiume?
hebrews Senior Member Mar 11, 2017 168 258 Mar 12, 2017 #15 mjombaaa said: Wakike au wakiume? Click to expand... Ukiisoma tu hiyo post yangu utaelewa jinsia yangu labda kama unauwezo wa kibashite kichwani kwako
mjombaaa said: Wakike au wakiume? Click to expand... Ukiisoma tu hiyo post yangu utaelewa jinsia yangu labda kama unauwezo wa kibashite kichwani kwako
Liwagu JF-Expert Member Jan 25, 2017 5,498 6,631 Mar 12, 2017 #16 Mwanamke kwani ukiamua kunyoa tu kuliko kuweka mavitu ya namnahii kichwani hupati MTU??
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 278,618 1,128,582 Mar 12, 2017 Thread starter #18 Hahahahaa naona ilikuuma sana mkuu,pole milioni milioni said: Bora Huyu Kuna Mmoja Alipaka Maparachichi Yangu Kwenye Nywele Akili Zao Wanazijua Wenyewe. Click to expand...
Hahahahaa naona ilikuuma sana mkuu,pole milioni milioni said: Bora Huyu Kuna Mmoja Alipaka Maparachichi Yangu Kwenye Nywele Akili Zao Wanazijua Wenyewe. Click to expand...
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 278,618 1,128,582 Mar 12, 2017 Thread starter #19 Saa nyingine ni kutojiamin,wanawake wengi tunaamini urembo upo kichwani(kusuka,kuweka dawa,kubandika weaving) Liwagu said: Mwanamke kwani ukiamua kunyoa tu kuliko kuweka mavitu ya namnahii kichwani hupati MTU?? Click to expand...
Saa nyingine ni kutojiamin,wanawake wengi tunaamini urembo upo kichwani(kusuka,kuweka dawa,kubandika weaving) Liwagu said: Mwanamke kwani ukiamua kunyoa tu kuliko kuweka mavitu ya namnahii kichwani hupati MTU?? Click to expand...
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 278,618 1,128,582 Mar 12, 2017 Thread starter #20 Hahaha urembo shosti emmyta said: Wanawake tuna kazi sasa ndio nini hiko? Click to expand...