Style mpya ya nywele.

Kwa rangi hiyo ya chama chakavu kichwani kwangu haingii hata awe nani.
 
Bora Huyu Kuna Mmoja Alipaka Maparachichi Yangu Kwenye Nywele Akili Zao Wanazijua Wenyewe.
 
wanawake bhana alaf unaweza kuta wamekaa na kupeana maneno

utasikia.........oooh shosti umependeza kama nini yana kwa kushauriana pumba hawajambo
 
Wanawake kweli akili zenu bora hata ya mtoto wa darasa la pili
 
Mwanamke kwani ukiamua kunyoa tu kuliko kuweka mavitu ya namnahii kichwani hupati MTU??
 
Saa nyingine ni kutojiamin,wanawake wengi tunaamini urembo upo kichwani(kusuka,kuweka dawa,kubandika weaving)
Mwanamke kwani ukiamua kunyoa tu kuliko kuweka mavitu ya namnahii kichwani hupati MTU??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…