Dominus Vobiscum
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 432
- 509
Unamwongelea nani? Iran ama NK?Kama ni kweli walikuwa wapi muda wote huo mtu tayari ana makombora ya nyuklia huoni kwamba walishamshindwa kwa namna yoyote ile?
Wakati wa utawala wa G.W Bush, joint American-Israel expert walikaa waka-design "kirusi"-(Malicious
Computer Worm). Kirusi hiki kina uwezo wa kushambulia mifumo mikubwa ya Viwandani (Industrial Computer systems)
"ICS".
Utendaji kazi wake ni kuwa, kirusi hiki kina-target Programmable Logic Controllers-PLCs,
Mfumo unaoendesha "Elecromechanical processes, mfano, Mifumo inayoendesha mashine katika viwanda vikubwa na pia
Mitambo ya kufua na kutenganisha viambata mbalimbali vya nyuklia - (Centrifuges for separating Nuclear material.)
Stuxnet ina-Exploiting four zero-day (Huu ni mfumo hatari utumiwao na hackers) flaws,
Stuxnet functions by targeting machines using the Microsoft Windows operating system and networks,
then seeking out Siemens Step7 software
Stuxnet inaweza kushambulia mifumo kama "supervisory control and data acquisition (SCADA)".
Kirusi huyu anakuwa katika module 3,
1.WORM- "executes all routines related to the main payload of the attack
2.Link file-"automatically executes the propagated copies of the worm
3.Rootkit-"component responsible for hiding all malicious files and processes, preventing detection of the presence of Stuxnet.
Disemba 25th 2012, Kirusi huyu aliumwa katika Nuklia plant ya IRAN, Na ikatafuna mfumo wa uendeshaji,
Iran akalia kilio cha mbwa na kulaani Maadui wa Kizayuni..
Ubaya wa Stuxnet, Ikisha fanya yake, inajifuta..-Self erase kuondosha trace za "Ushahidi"
Inasemekana, hata a foiled North Korea Missile test ni kazi ya STUXNET
Pamoja na ngonjera hizo zote, NK hawaiwezi kwa sasaWakati wa utawala wa G.W Bush, joint American-Israel expert walikaa waka-design "kirusi"-(Malicious
Computer Worm). Kirusi hiki kina uwezo wa kushambulia mifumo mikubwa ya Viwandani (Industrial Computer systems)
"ICS".
Utendaji kazi wake ni kuwa, kirusi hiki kina-target Programmable Logic Controllers-PLCs,
Mfumo unaoendesha "Elecromechanical processes, mfano, Mifumo inayoendesha mashine katika viwanda vikubwa na pia
Mitambo ya kufua na kutenganisha viambata mbalimbali vya nyuklia - (Centrifuges for separating Nuclear material.)
Stuxnet ina-Exploiting four zero-day (Huu ni mfumo hatari utumiwao na hackers) flaws,
Stuxnet functions by targeting machines using the Microsoft Windows operating system and networks,
then seeking out Siemens Step7 software
Stuxnet inaweza kushambulia mifumo kama "supervisory control and data acquisition (SCADA)".
Kirusi huyu anakuwa katika module 3,
1.WORM- "executes all routines related to the main payload of the attack
2.Link file-"automatically executes the propagated copies of the worm
3.Rootkit-"component responsible for hiding all malicious files and processes, preventing detection of the presence of Stuxnet.
Disemba 25th 2012, Kirusi huyu aliumwa katika Nuklia plant ya IRAN, Na ikatafuna mfumo wa uendeshaji,
Iran akalia kilio cha mbwa na kulaani Maadui wa Kizayuni..
Ubaya wa Stuxnet, Ikisha fanya yake, inajifuta..-Self erase kuondosha trace za "Ushahidi"
Inasemekana, hata a foiled North Korea Missile test ni kazi ya STUXNET
Mapanki yupo vizuri. Sasa anamwendesha makamu wa rais wa US kuzunguka sehemu mbalimbali kuomba msaada wa kumshambulia mapanki.kinacho nipa raha wafuasi wa u.s wanatangaza walivyo vizuri ila u.s wenyewe wanamwogopa mapanki
vita haina macho hata uwe na virusi kama ebola wakikuwahi unapigwa tu
Asisahau bado ana satellite angani kitu ambacho hata south hajaweza kurusha.Kwa N Korea umetudanganya wanayo OPS yao wenyewe siyo window wala linux
Na bado wanadukuliwaTrump aliposema "internet is ours. We can switch it off from this side" inaonekana kunguni hawakumwelewa. Nyambaf.
Na bado wanadukuliwa
Na ivi, wanavyochelewa kumshambulia tayari atakuwa kashaingilia Saver nyingi za North Korea. Internet ni mali ya Marekani kwa iyo hata iyo operating systems anaweza akaingilia piakinacho nipa raha wafuasi wa u.s wanatangaza walivyo vizuri ila u.s wenyewe wanamwogopa mapanki
vita haina macho hata uwe na virusi kama ebola wakikuwahi unapigwa tu
Soko kubwa lao awa jamaa ni China wanauza vifaa vya electronics na vyakula kwenda China. Ambako ana soko kubwa sana na uchumi wake umekuwa kutokana na soko la nchi iyo.Nawaonea huruma Wananchi wa N.Korea,uchumi wao utayumba sana,na sababu tu ni dogo anataka kutunisha msuli.Ikumbukwe kuwa hapo walipo wanaishi ndani ya vikwazo na bado wanajiingiza vitani.
Ungetutajia iyo operating system wanayoitumia tuijueKwa N Korea umetudanganya wanayo OPS yao wenyewe siyo window wala linux
Mnanifurahisha sana na hizi team zenu.Mnajifariji na wapuuzi wenu U. S
Na ivi, wanavyochelewa kumshambulia tayari atakuwa kashaingilia Saver nyingi za North Korea. Internet ni mali ya Marekani kwa iyo hata iyo operating systems anaweza akaingilia pia