Studio mpya ya Azam Tv

Studio mpya ya Azam Tv

Ndio maana yake sio TBC, studio kama banda la kuonyeshea mpira!! tena yale mabanda ya mbagala. Yamekalia propaganda tu, eti UKWELI NA UHAKIKA!! Bora waite chuki na fitina. kuna mmoja huwa anatangaza kama amekalia msumali, sijui zakaria eti anajiita Richard Quest!!!! ukitaka kuona maajabu njoo bongo, siasa ni fitina, mpira huko sasa ndio shidaaa mala simba aseme interejensia yetu inaonyesha yanga wamepanga kuchukua maiti mhimbili wailete uwanja wa taifa kufanyia tambiko, sasa nyie wafanyakazi wa mochwari mihimbili kazi kwenu, hii maiti tukiipata tutajua pa kuipeleka, na ndugu wa marehemu mtajua mtakachowapa, pale watakapo hitaji mwili wao!!! bit toka simba hilo.
 
hahahaahahah umenchekesha mkuu eti badala ya ukweli na uhakika ni "chuki na fitna"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom