Students in one of these colleges

Tom Ndana

New Member
Dec 28, 2017
3
1
Habari zenu wakuu. Nahitaji mtu anaesoma (au ako na connnections) in one of the following colleges
  • The Amazon College
  • The Global College
  • Excellent College of Health and Allied Sciences
 
Humu wote tayar wana maPHD yao!

Asiesoma kabisa ana degree.

Kajaribu Facebook labda
Kweli kabisa ukija mjadala wa Bodi ya mikopo naona kila mtu analalamika makato/deni kubwa. Sijui la saba mwenzangu huwa ni nani humu
 
Habari zenu wakuu. Nahitaji mtu anaesoma (au ako na connnections) in one of the following colleges
Mimi siye Faiza Foxy, ila hicho kiswahili ulichotumia hapo kwenye bold kinanifanya nikuulize wewe ni mtanzania au mkenya?
  • The Amazon College
  • The Global College
  • Excellent College of Health and Allied Sciences
 
Habari zenu wakuu. Nahitaji mtu anaesoma (au ako na connnections) in one of the following colleges
  • The Amazon College
  • The Global College
  • Excellent College of Health and Allied Sciences
Mkuu naona labda ingekuwa vyema kama ugesema shida au hitajio lako Wadau watakupa msaada kwa wanaojua au walishasoma, kuliko kutafuta wa wanaosoma hivyo vyuo kwa sasa.
 
Mkuu, wewe ni Mkenya? Unahitaji nini hasa iuli usaidiwe. Tupo tusiosoma humo lakini tunajua mambo mengi yahusuyo vyuo hivyo
 
Back
Top Bottom