Wimbo wangu bora kabisa wa wakati wote.Habari za mchana waungwana.
Naombeni wenye mahaba na miziki ya malavi davi mnisaidie. Kasie Napenda sana mziki na nyimbo bin kuimba, na huwa natumia sana maneno ya nyimbo kama ujumbe as kumpelekea mtu wimbo ausikilize.
Huu wimbo (Stuck on You) ni wa Mahaba maana miaka ile ya 80 ilikuwa kawaida maharusi kufungua mziki na huu wimbo.
Mara nyingi Huu wimbo nimekuwa nikiusikiliza na kuimba huku nikiigilizia sauti ya Lionel Richie....(sauti tamu kama ya Dadii hehehehe).
Ila nimekuwa nikijiuliza, knobs maneno (lyrcs) za huu wimbo zinaonesha kama mwanaume aliikimbia nyumba akamuacha mkewe au mpenziwe na kwenda kutangatanga na wapenzi wengine. Sasa anamuimbia mpenziwe kuwa anarudi nyumbani na Kuwa safari hii atakaa au hatoondoka tena na mavurugu yote anaacha huko.
Kama niko sawa mwanaume Ndo anaomba radhi kubembeleza penzi arudi kwa mkewe.... Bado sijaelewa naombeni uchambuzi wa kimahaba.
Si kuwa nataka mtafsiri laah nataka tuu uchambuzi....
Na kama uko kama ninvyoelewa hapo juu, iweje maharusi wanautumia kufungulia mziki? Au wanacheza beats za mziki na si maneno....??
Stuck on me by Lionel Richie...
Huu sijautuma kama dedication kwa mtu yeyote yule, nat
Kasie Mahaba Matata.
Usiku zinanoga zipi..Ukuje uniimbieSisi huku kwetu Daaaaar (Dareda) ni usiku Kasie. Hako kawimbo kananoga wakati wa lunch time
Mpatie uchambuzi basi Kasie mtataWimbo wangu bora kabisa wa wakati wote.
Mbona hapo mwisho kwenye dedication umejihami??Habari za mchana waungwana.
Naombeni wenye mahaba na miziki ya malavi davi mnisaidie. Kasie Napenda sana mziki na nyimbo bin kuimba, na huwa natumia sana maneno ya nyimbo kama ujumbe as kumpelekea mtu wimbo ausikilize.
Huu wimbo (Stuck on You) ni wa Mahaba maana miaka ile ya 80 ilikuwa kawaida maharusi kufungua mziki na huu wimbo.
Mara nyingi Huu wimbo nimekuwa nikiusikiliza na kuimba huku nikiigilizia sauti ya Lionel Richie....(sauti tamu kama ya Dadii hehehehe).
Ila nimekuwa nikijiuliza, knobs maneno (lyrcs) za huu wimbo zinaonesha kama mwanaume aliikimbia nyumba akamuacha mkewe au mpenziwe na kwenda kutangatanga na wapenzi wengine. Sasa anamuimbia mpenziwe kuwa anarudi nyumbani na Kuwa safari hii atakaa au hatoondoka tena na mavurugu yote anaacha huko.
Kama niko sawa mwanaume Ndo anaomba radhi kubembeleza penzi arudi kwa mkewe.... Bado sijaelewa naombeni uchambuzi wa kimahaba.
Si kuwa nataka mtafsiri laah nataka tuu uchambuzi....
Na kama uko kama ninvyoelewa hapo juu, iweje maharusi wanautumia kufungulia mziki? Au wanacheza beats za mziki na si maneno....??
Stuck on me by Lionel Richie...
Huu sijautuma kama dedication kwa mtu yeyote yule, nat
Kasie Mahaba Matata.
Sisi huku kwetu Daaaaar (Dareda) ni usiku Kasie. Hako kawimbo kananoga wakati wa lunch time
Ila nimekuwa nikijiuliza, knobs maneno (lyrcs) za huu wimbo zinaonesha kama mwanaume aliikimbia nyumba akamuacha mkewe au mpenziwe na kwenda kutangatanga na wapenzi wengine. Sasa anamuimbia mpenziwe kuwa anarudi nyumbani na Kuwa safari hii atakaa au hatoondoka tena na mavurugu yote anaacha huko.
Ooh kumbe usiku ushaingia....
Kawimbo haka kananikuna mahaba Ila nikizama kwenye lyrics nashindwa kumdediketia Dadii.....
English is the problem hapo.... Nimeshindwa kabisaaa kuuchambua basi nimebaki nausikiliza na kuuimba tuu huku nachezea chezea nywele.
hujakosea Kasie au inawezekana ni mtu amabaye alikuwa anazikata/ficha hisia zake juu ya mtu (huyu mtu alimtamkia kuwa anampenda ), sasa ndio ameamua kujiweka wazi na anashukuru huyo mtu amemsubiri kipindi chote wakati alichokuwa anajaribu kupingana nahisia zake.
tukiondoa jinsi ujumbe unavyotoka kwa mwanamme kwenda kwa mwanammke tunaweza kuutumia ujumbe utoke kwa KE ukaenda kwa ME pia....