Stuck in bootloop after flashing custom rom

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Posts
19,036
Reaction score
22,584
HTC ONE X S720E
cid: HTCCN701


Msaada wenu wa rom yoyote wazee ikiwezekana official Rom
 
swali la nyongeza tu kabla hujaeka hio rom uli wipe dalvik cache? kama hapana basi ndio imesababisha hivyo mafile ya rom mbili yamekutana. kama una access ya cwm unaweza kuwipe hizo cache kwanza
 
swali la nyongeza tu kabla hujaeka hio rom uli wipe dalvik cache? kama hapana basi ndio imesababisha hivyo mafile ya rom mbili yamekutana. kama una access ya cwm unaweza kuwipe hizo cache kwanza

-Hiyo sikufanya mkuu?
-Ngoja nitumie odin nitaleta mrejesho
 
Fanya utupe feedback je ulitumia nin kuroot revolutionary au wakati mwingine inasababishwa na wrong ROM so sio mbaya ukaweka name model yako ya cm
 
Fanya utupe feedback je ulitumia nin kuroot revolutionary au wakati mwingine inasababishwa na wrong ROM so sio mbaya ukaweka name model yako ya cm

HTC ONE X S720E




hii picha ni kabla sijabrick ilikuwa na jellybean
 
flash official na odin

-chief odin wanasema ni kwa ajili ya samsung ila htc haina download mode
-nilipata file lake hili kwa ajili ya kurudishia rom yake ya awali lakini sijapata namna ya kurun hili file na nimeweka cwm tayari ila niki run inaleta 'error 7' ambayo nikigoogle sipati alternative

OTA_ENDEAVOR_U_JB_50_S_HTCCN_CHS_4.17.1400.4-3.16.1400.8_release_330242rgnddjjw0ydcj915.zip
 

tofauti na odin ambayo inataka mafile ya .tar au .tar.md5 cwm inakua na format zake na mara nyingi zinakuwa packed kwenye zip. kama una cwm why usiendelee na rom zako ukaachana na odin? tafuta rom za kuflash na cwm pia kuna solution za bootloop zinazotaka cwm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…