Struggling To Abstain

Yanaleta ugonjwa wa kuchekacheka na kupagawa.

Haka kaugonjwa nasikia kana wakumba sana watu wanao kaa mda mrefu bila ya kumegwa wengine wanadai hata miguu huwa inavimba kiduchu...kwa utafiti zaidi nenda shule za single kama Loleza, Iringa Zuu n.k
 
Kazi ipo..ila namfagilia sana huyu mtu kwa kuwa jasiri kutambua tatizo na athari zake pia. Nisichokielewa mimi ni hiki kitu ambacho wengine wanaona kiko sawa cha watu kuoana halafu kukaa mbali mbali kama bado ni b/g friend. Ukishazoea tendo la ndoa, kulimiss kwa muda mrefu ni tatizo. Si busara mume na mke kukaa mbali mbali kwasababu hiyo.
Maana masturbation bwana unafanya mwenyewe na wengine lazima upate chapa mtu ndio circle inakuwa complete.
 
Exercise a lot and avoid outing za ushawishi

thats not even practical... sure exercise helps to maintain good health and make u look/feel good... and so can increase your potency...
 
Mwenye kuvumilia mpaka mwisho ndiye atakaye okoka
kama jana uliweza kuvumilia, jitahidi leo kufanya hivyo
msaada wa ki-Mungu zaidi unahitajika kukunusuru na dhambi ikuzingayo kwa upesi
 
Kuna umuhimu wa kufungua ofisi
ya kujitolea kuwasaidia wanawake wote amba waume zao
wamesafiri.
i mean msaada wa the real thing.......
 



Ok! Haya yote nilijaribu lakini ndiyo nilitumbukia zaidi
1)Mazoezi- Nilianza mazoezi nikawa sawa for some time kwa sababu nilikuwa ninachoka kupindukia lakini mwili ukazoea sasa hizo feelings zikawa zime double.Nikitoka mazoezi ninawaka moto kabisa hata zaidi ya hapo awali.

2) Nilienda kumwona Pastor after kuteseka sana na mambo haya lakini akaanza kutaka kunitembeleya kwangu nyumbani ili aniombe nikamshuku,so nikayawacha hayo.Hata nikisali haisaidi.Lakini sikuwa hivi hadi nilipo olewa kwa sababu nilikuwa bikira na siku hisi taama yoyote before niolewe sasa kaniwasha moto halafu ameniwacha nikiumia.
 

una suggest tukusaidie vipi?
 

Hebu mwambie mumeo kuhusu hilo aisee. A kid who has never tasted another woman's food believes that his mother is the best cook in the World. I am afraid you may taste another man and find out that your husband was only doing half of what you need in bed and that will ruin your marriage!
 

WE hujamuelewa huyu.
kila mbinu aliyopewa kasema haimsaidii..
anachotaka ni the real thing.but ana woga
 
WE hujamuelewa huyu.
kila mbinu aliyopewa kasema haimsaidii..
anachotaka ni the real thing.but ana woga

Hebu m-PM kwanza ili tujue msimamo wake, inaelekea anahitaji tiba mbadala!
 

muda gani mmekuwa mbali na mumeo??
hebu talk to your husband ajue yanayokusibu, nuamue wewe uende au yeye aje ulipo japo kwa muda tu basi upunguze kiu. naona karibu utadakwa na mbwa mwitu wenye uchu wa nyama.....
you sound like you are really thirst.......
 
........Mwambie huyo mumeo awe anarudi kila baada ya miezi 3 au miezi 6, wanandoa kukaa mbali mbali haipendezi kwa kweli..........mwishoni ni kutiana majaribuni kama haya wewe una hamu mume yupo mbali. Pole sana shost inabidi uwe serious kumwambia kwamba wewe una hamu ili awe anarudi kukupa.
 
Lakini hii si ni dhambi?

dhambi kama hujaolewa...
lakini we umeshaolewa,unaruhusiwa
mfano mumeo akiwa mgonjwa hawezi ku perfom utafanyaje?
kuwa mtu mzima sasa,sio mtoto mdogo tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…