De Novo aksante.
ni kweli swali lako ni la msingi sana na tungetegemea kuwa kwa kipindi cha mpaka kuoana watakuwa wameshafahamiana huku shemeji akijua fika kuwa dada hahimili kukaa bila kudumishiwa chama cha wasioona. Kuna walakini hapa unless aatwambie ni boyfriend ambaye hawajafahamiana sana.
Lakini pia inategemea na mtu na mtu De Novo- mwingine wezamwambia madhaifu yako akakufrustrate zaidi. Namfahamu dada mmoja aliyekuwa muwazi sana kwa mumewe kiasi cha kumweleza kuwa anasumbuliwa sana na Ex- wake yaani boyfriend wake. Badala ya mume kumsaidia, kila mara akawa anamshutumu kuwa anagawa kwa Ex. Pengine the same applied kwa hapa anaogopa akimwambia Mr. hali yake Mr. anaweza akawa anajijengea taswira kichwani kuwa mwenzi wake anadungwa. Na kama ujuavyo hisia huua mapenzi.
u right Masaki Mast... haiwezi kukidhi haja yake lakini atleast she will sleep hahaa...and she dont have to go and bang any man...Kamwe haiwezi kukidhi haja yake huyo mrembo kwa mujibu wa maelezo yake hapo juu. She needs the real thing!
De Novo aksante.
ni kweli swali lako ni la msingi sana na tungetegemea kuwa kwa kipindi cha mpaka kuoana watakuwa wameshafahamiana huku shemeji akijua fika kuwa dada hahimili kukaa bila kudumishiwa chama cha wasioona. Kuna walakini hapa unless aatwambie ni boyfriend ambaye hawajafahamiana sana.
Lakini pia inategemea na mtu na mtu De Novo- mwingine wezamwambia madhaifu yako akakufrustrate zaidi. Namfahamu dada mmoja aliyekuwa muwazi sana kwa mumewe kiasi cha kumweleza kuwa anasumbuliwa sana na Ex- wake yaani boyfriend wake. Badala ya mume kumsaidia, kila mara akawa anamshutumu kuwa anagawa kwa Ex. Pengine the same applied kwa hapa anaogopa akimwambia Mr. hali yake Mr. anaweza akawa anajijengea taswira kichwani kuwa mwenzi wake anadungwa. Na kama ujuavyo hisia huua mapenzi.
ha ha ha acha mchezo na kumegewa bana!! he he he ngoja wadumisha mila waione hii!!Hiyo ni kweli.Anaweza mwambia mumewe halafu akabomoa badala ya kujenga.Ukizingatia na huyo mumewe naye pengine anawakati mgumu kule USA na anamega nje vilevile bila kujitahidi kuabstain.Na mara nyingi wanaume huwa wanapenda wamege wao lakini wasimegewe vyao.
Ukichunguza sana charity hiyo ya maji moto ni aina ya masturbation kwani kazi yake kuu ni kupunguza mhemko/ashki ya kufanya ngono. Tofauti yake ni kwamba haihusishi fantasies na wala haiendi deep. Unakuwa kama unafanya cleansing tu ya kawaida.
Hi ! mama hujambo? long time heeh
MJ1 makungwi na masomo , zamani siyo sasa.
La msingi hapo afanye masturbation.It is vey health, it helps a man/woman 2 relax.Asikutishe mtu kuwa ina madhara,unatakiwa tu kuwa imaginative . Inasaidia sana hasa kwenye zama hizi za HIV/AIDS. Madiba alitumia sana hii technique.
Kazi za kungwi siku hizi zimemezwa na vitchen parties ambazo bahati mbaya zimekuwa too much modified kiasi cha kupoteza kabisa maana.Kwanza siku hizi mabinti wanasema wanajua kila kitu kabla ya kuolewa, so no need ya makungwi.
Mtu unaolewa unajua kila kitu na sometimes tayari una ujauzito au watoto kadhaa, mume umeshakaa naye vya kutosha, sasa kungwi atakufundisha nini?
Maana yangu ni kwamba utaijenga akili yako kuamini kuwa hiyo mastur... ni badala ya mumeo.Charity how can masturbation affect you psychologically?... it only make u feel relaxed and the sexually desire decreases to some point but it can never be a substitute to the real thing....she can use her imagination and imagine her husband on her bed or on her... thts how it works...I dont see whats wrong with that... its safer than being unfaithful .
Kazi za kungwi siku hizi zimemezwa na vitchen parties ambazo bahati mbaya zimekuwa too much modified kiasi cha kupoteza kabisa maana.
Ni kweli mtu anaolewa na mimba, watoto wanasahau kuwa ndoa ni zaidi ya kufungua miguu- ina mambo mengi ambayo katu zile mada zinazotolewa na walioandaliwa ktk kitchen party hazikidhi. Ndoa ni msitu mnene ambao mwanzo wake umepambwa na vichaka vya wazi vifupi vyenye kupendeza ila ndani ni miyombo, mikoko na kila aina ya miti yenye kufunga. So muolewaji na muoaji ni vizuri wakajua namna ya kukabiliana nayo na kujua ni silaha za aina gani za kubeba- sio unaingia msitu uliofunga we wabeba jembe au mshale badala ya panga au fyekeo.
have u ever thought of the word masturbation?... yes it can be handy🙂
Afu nishawahi sikia haya mambo ya kupandisha hamu bila kufanya real thing huwa yna madhara kwa wanawake.Yanaleta ugonjwa wa kuchekacheka na kupagawa.u right Masaki Mast... haiwezi kukidhi haja yake lakini atleast she will sleep hahaa...and she dont have to go and bang any man...
nimeikuta kweye articke moja....effects of 'penzi binafsi' for woman"..hapa shosti unampotosha wala humshauri
atahri za hii kitu ni mbaya sana usije ukamfany amwenzio asifurahie tena tendo la ndoa......mweh!!!
............all these are totally false! There is no truth in the belief that frequent masturbation is harmful to health
nimeikuta kweye articke moja....effects of 'penzi binafsi' for woman"..
Mume wangu amekuwa akifanya kazi USA ,nimekuwa nikiwa na haja sana siku zangu za Ovulation.Sijui nifanye nini ilinisimsaliti because niko hot sana siku hizo nakuwa outgoing sana na nina flirt sana hata bila kujua ninavyo fanya tena ninajisikia sana kuva seductively na kuongea kuhusu ngono.Nikimwona mwanamme mzuri,yaani built,handsome,ana mikono mizuri,well dressed ama anayenukia vizuri hata kama niko kwenye meeting ninapoteza concetration.Ninaanza kufikiria atakuaje kwenye ngono.Naskia aibu sana lakini I need help.
Please nipe mawaidha vile nitaiua libido yangu hadi atakapo rudi mume wangu.
Naogopa maradhi na ninataka kuremain faithful lakini the flesh is weak na hivi karibuni huenda nika anguka.
Nimekusoma......ila kwa hayo matatizo ya huyo bibie for me nadhani hii inaweza msaidia maana kasema anogopa kutafuta the real...maana jamaa yupo mbali!!anyway am a big gurl and I would rather do the real thing........
bht u know i respect u alot... lakini sasa nimempotesha wapi hapo shosti...what is worst akaparamie mababa ya nje au aji cool mwenyewe.....sasa kama mme wake hayupo and her body is responding what she is suppose to do? why ppl thinks masturbation is bad thing? halafu kama nilivyo sema kwenye post nyingine... there is nothing like a real thing so I dont see any danger of getting addicted... it will actually help her to explore her G-spot even better and improve her sexually life with husband...hapa shosti unampotosha wala humshauri
atahri za hii kitu ni mbaya sana usije ukamfany amwenzio asifurahie tena tendo la ndoa......mweh!!!
bht u know i respect u alot... lakini sasa nimempotesha wapi hapo shosti...what is worst akaparamie mababa ya nje au aji cool mwenyewe.....sasa kama mme wake hayupo and her body is responding what she is suppose to do? why ppl thinks masturbation is bad thing? halafu kama nilivyo sema kwenye post nyingine... there is nothing like a real thing so I dont see any danger of getting addicted... it will actually help her to explore her G-spot even better and improve her sexually life with husband...
I am done with sex topic today... hahaha... have a lovely day...
now u r talking... nothing can bit the real thing but huyu dada mume wake yuko in States... bado unamshauri apate real thing...anyway am a big gurl and I would rather do the real thing........
hahaha hiyo kali ...Afu nishawahi sikia haya mambo ya kupandisha hamu bila kufanya real thing huwa yna madhara kwa wanawake.Yanaleta ugonjwa wa kuchekacheka na kupagawa.
now u r talking... nothing can bit the real thing but huyu dada mume wake yuko in States... bado unamshauri apate real thing...