Struggling To Abstain

Struggling To Abstain

PRECIOUSDOE

Senior Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
114
Reaction score
12
Mume wangu amekuwa akifanya kazi USA ,nimekuwa nikiwa na haja sana siku zangu za Ovulation.Sijui nifanye nini ilinisimsaliti because niko hot sana siku hizo nakuwa outgoing sana na nina flirt sana hata bila kujua ninavyo fanya tena ninajisikia sana kuva seductively na kuongea kuhusu ngono.Nikimwona mwanamme mzuri,yaani built,handsome,ana mikono mizuri,well dressed ama anayenukia vizuri hata kama niko kwenye meeting ninapoteza concetration.Ninaanza kufikiria atakuaje kwenye ngono.Naskia aibu sana lakini I need help.

Please nipe mawaidha vile nitaiua libido yangu hadi atakapo rudi mume wangu.
Naogopa maradhi na ninataka kuremain faithful lakini the flesh is weak na hivi karibuni huenda nika anguka.
 
Unawaletea chui kazi ya kumlinda kondoo? Si ajabu ushapata PM kadhaa zikikuulizia uko wapi na kutaka ukaribu zaidi.
 
Mume wangu amekuwa akifanya kazi USA ,nimekuwa nikiwa na haja sana siku zangu za Ovulation.Sijui nifanye nini ilinisimsaliti because niko hot sana siku hizo nakuwa outgoing sana na nina flirt sana hata bila kujua ninavyo fanya tena ninajisikia sana kuva seductively na kuongea kuhusu ngono.Nikimwona mwanamme mzuri,yaani built,handsome,ana mikono mizuri,well dressed ama anayenukia vizuri hata kama niko kwenye meeting ninapoteza concetration.Ninaanza kufikiria atakuaje kwenye ngono.Naskia aibu sana lakini I need help.

Please nipe mawaidha vile nitaiua libido yangu hadi atakapo rudi mume wangu.
Naogopa maradhi na ninataka kuremain faithful lakini the flesh is weak na hivi karibuni huenda nika anguka.

i have got bad news for you;
first of all, hujasema mko apart kwa muda gani na hali hiyo itadumu kwa muda gani;
you need to tell your husband huu udhaifu wako, infact alitakiwa akujue na asikuache nyuma au msiachane maana siajabu yeye naye anahali yako

Pili dada, wew unajijua na nina imani solution ya matatizo yako unayo unless wewe una 16 years...

eniwei... jaribu kujisahaulisha kwa kusali au kufanya mazoezi au kuwa karibu na ddugu, ikishindikana fanya unayoona yatakusaidia
 
Mume wangu amekuwa akifanya kazi USA ,nimekuwa nikiwa na haja sana siku zangu za Ovulation.Sijui nifanye nini ilinisimsaliti because niko hot sana siku hizo nakuwa outgoing sana na nina flirt sana hata bila kujua ninavyo fanya tena ninajisikia sana kuva seductively na kuongea kuhusu ngono.Nikimwona mwanamme mzuri,yaani built,handsome,ana mikono mizuri,well dressed ama anayenukia vizuri hata kama niko kwenye meeting ninapoteza concetration.Ninaanza kufikiria atakuaje kwenye ngono.Naskia aibu sana lakini I need help.

Please nipe mawaidha vile nitaiua libido yangu hadi atakapo rudi mume wangu.
Naogopa maradhi na ninataka kuremain faithful lakini the flesh is weak na hivi karibuni huenda nika anguka.

Siku za mpito tu hizo, vumilia.
 
nione pm...
nitakupa ushauri nasaha utakusaidia...
mimi ni mtaalam wa kutoa nasaha
kwa watu wenye tatizo kama lako
na wengi wana nishukuru......
 
nione pm...
nitakupa ushauri nasaha utakusaidia...
mimi ni mtaalam wa kutoa nasaha
kwa watu wenye tatizo kama lako
na wengi wana nishukuru......

Mkuu. bora ungemwaga tu ushauri hapa. Hili swala likienda tena kenywe PRIVATE MASSAGGE itakua habari nyingine. what if ushauri ukigonga mwamba? Then physical msaada.

Namshauri ajitahidi sana kufanya mazoezi. otherwise iddle mind is devils workshop!!
 
ayaa duh kitu hot bana achana nacho, umenikumbusha mbali mpaka nimejiuma ulimi hahahaa
 
wewe hupaswi kukaa peke yako. unahitaji kumjoin mumeo haraka iwezekanavyo. maana kwa story yako tu ni kwamba umeshashindwa kuvumilia. Mwambie ukweli huyo mume, kama bado anakupenda atafanya mpango umfwate
 
fp upo mrembo?
 
have u ever thought of the word masturbation?... yes it can be handy🙂
 
Dada kwani weye hukuwa na kungwi/somo wakati unaolewa? au hata shangazi? mbona kuna mbinu mbadala zinazokubalika hasa kwa wakati kama huo?
 
MJ1 ,kama hizo mbinu mbadala zinafundishika public bora zitaje kwa faida ya wengi.Kuna wengine hapa hawajaolewa bado na wanahitaji kuabstain na wengine wameolewa lakn hawakupata bahati ya kuwa na kungwi.
Lakini kama ni mambo ya chumbani sana basi ruhusu watu wakuPM kwa ushauri zaidi.
 
Back
Top Bottom