Gharama sio hatua ya kwanza bali ya mwisho
Mipango miji unafuata hatua zifuatazo
- Unapima nchi nzima
- Unatunga sheria ili mipango miji ifuatwe kwa lazima yaani anayejenga hata room moja lazima afuate mipango miji ni lazima na sio hiari
Squatter hizi zinaondoka vizuri Beijing ya 1930's au Singapore ya 1960's ilikuwa ni squatter tupu ila leo hazipo sababu kubwa ni kuwa na ukuaji wa uchumi ambo ni inclusive, na mkubwa na ambao ulikuwa consistence
Sababu ya kutokuondoka hizi squatter ni kwa sababu ya ukuaji wa uchumi mdogo ambao hauko connected na watu