Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,939
4rever Nga Nga NgaIkifikia wakat ukiwa unalala dolo yaani ngu ngu ngu, urud tena kuuliza tatizo nin.
Sawa Pacha Wangu Kitu Nga Nga Nga 24 Hrssasa wewe unasimamisha asubuhi tu! unaanzisha uzi..
mimi ambae ni Nga Nga Nga asubuhi, mchana na jioni!... nifanyaje.
Anyways, sio ugonjwa huo ndio uanaume, labda kama lengo lako ilikuwa ni kujulisha umma kuwa na wewe ni rijali
Au ajifunzie kwa beki 4 kama yupo!Tafuta mke!