wataalam nimenunua strong receiver srt 4922A,sasa nataka kupata channels za mpira katika eutelsat 7e kupitia channel za aljazeera au irib katika arabsat 5A @ 20'E,nifanyeje wakuu
Je wewe ni fundi dish? Kama ndio sema wapi unakosea nitakusaidia na kama huna utaalam na ufundi wa dish nakushauri tafuta fundi aliye karibu atakufungia chochote unachohitaji