Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,861
- 828
Napenda kuwataarifu kuwa sasa kuna decoda zijulikazo kama strong 4922 ambazo zipo vizuri sana kwa kupata chanel nyingi zaidi kuliko decoda nyinginezo.
Zifuatazo ni baadhi ti ya sifa ilizo nazo hii strong4922
1.mpg4 full hd
2.ina bisskey program itakayokuwezesha kufungua chanel ambazo ni scrambled ila zinafunguliwa kwa bisskey
3.youtube
4.pia inakubali accounts mbalimbali kama cccam, dqcam, tv1 nk
Kwa wale mliochoka na malipo ya kila mwezi kama mimi nawashauri mnunue decoda bora na mathubuti hii ya strong 4922 ili uepukane na malipo ya kila mwezi ya akina ving'amuzi vilivyojaa hapa Tanzania.
Naruhusu maswali.