KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,150
Mie si mwanaume Lizzy dia but naomba nichangia
KWanza huku kwetu pia haya mambo yapo.... specifically niliwahiishukudia Nairobi Kenya but nasikia hata Dar yapo.
Hahahaha hapa kwenye kukiri kupenda au la mwe! debate itaanzia na unafanya kwa dhana gani? kumkeep mume ndani au ? Wakija kina Mbu na DC hapa watakutoa dima na viG-string vyako na poles watang'oa.
Nchi za wenzetu wanaume.hua wanaenda strip club kuangalia wanawake wakicheza taratibu na kwa madaha huku waki'undress. . .sina uhakika na huku kwetu.
Nwy ni dhahiri kwamba wanaume hua wanapenda kutazama wanawake(furaha ya macho) wakifanya mambo tofauti tofauti. . .kuonyesha kiuno kilivyolegea being one of those things. Sasa wewe kama mwanaume utajisikiaje/unafikiriaje swala la mwenzi wako kukupa "private show" badala ya kuishia kuangalia kwenye TV au kwenda strip club?
Badala ya kuvuana chap'chap mnawekana sawa kivingine.A 'lil bit of music. . .slow dancing. . .slow whining. . .teasing you. . getting undressed infront of you au hata poll dancing tena bila kutakiwa kutoa noti noti ili show iendelee.
UTAPENDA au HUTOPENDA? Kama utapenda mwenzio anajua hilo au unaishia kutamani tu?
umenena vema,ni kweli mfano uganda kuna nude shows ambapo wanawake wanafanya show za kujisquirtisha hadharani,kwa kina dada ambao mpaka leo hamjawahi ku squirt,mkienda huko mtapata somo zuri sana na kuwafanya mfikie kilele cha utamu wa ngono,na kuachana na hiyo taka taka starehe ya vibinti vya sekondari ya kupizz kawaida,squirting ndio mpango mzima.
Sasa kama kigezo ni kutema tu mbegu za kiume mbona Mwanaume anaweza kutimiza haja yake bila huitaji wa kuwepo mwanamke? sikutegemea Comment kama hii itoke kwa mwanamke.klorokwini
Sasa wewe loya chumbani unafuata mahips????
Hahahahaha. . . .na hivi vyakula vya kisasa, unathubutu kuvua mbele ya mtu na kudance?
Mtu ana nyama nyingi kama mcheza Sumo au avatar ya Ndyoko badala ya kumfurahisha unamtisha.
Usione watu maofisini wamependesha humo ndani nyama zimeshonewa mifuko ya kuzibana akivua zinamwagika, vibration ya nyama inatulia baada ya nusu saa.
Mie sidhani hapa kama napaweza.
Lizzy
hehehe hata huko kwengine bana ukiliona jimama limebeba miili ya watu wawili halafu linaleta mazingaombwe ya lap dance tena liko all over your breathing system hakyanani unaweza ukatokea dirishani labda hiyo strip tease aifanye bila lap dance tena aifanye mbali kidogo ili ikitokea bahati mbaya akateleza aangukie japo TV lakini sio mimi.
The point is, tujitathmini kabla kufanya mambo ambayo tunayachukulia so general.
Mami hizo hazijapitwa na wakati tu bado? Siku hizi HIPster ndo zinalipa bana. . . hamna haja ya kuvaa vitu vinavyopotelea kusikojulikana.klorokwini
Hahahaha Huo mstari wako wa mwisho shemeji............. uko mpana sana aisee, nawaza kwa nguvu hapa mambo ya G-string, thong hah nijiangalie kwanza sio?
KIM KARDASH
............................Eh!!
Lizzy Strip show Majumbani kwetu zilikuwepo na bado zipo ila kwa style tofauti, Mfano mzuri Mwanaume Kamili ukimvalia Transparent night dress without under wear hiyo kwangu ni strip show tosha kabisa.
Tatizo lilopo sasa hivi katika nyumba nyingi ni mahusiano yamekuwa ya kubeep sana na ndoa zinajiendesha zenyewe kwa style ya Bluetooth, ndio sababu ya Wanaume wengi kwenda kwenye hizo show, infact amani zimetoweka na ugumu wa maisha unachangia.
Hivi Fikiria hata kanga moja ndembe ndembe je hili nalo ni shida kwa mwanamke kumrusha roho mumewe? mtoto wa kike uko nyumbani tena some time mko wawili tu bado umeng'ang'ana kuvaa Jeans!! nawashangaa kina dada siku wana vazi eti linaitwa dela linkunjiwa fundo kiunoni pamoja na chupi hapa wanadhani ndio kumrusha roho Mwanaume?
Badly nilichokigunduwa mimi wanawake wengi wa Kibongo hawapendezi au kuvaa mivao ya kurusha roho kwa ajili ya wenza wao bali Intention yao ni kwa outsiders!!...very sad.
Aisee hili nalo ni wazo la tofauti ila limetulia, upo wapi Lizzy unionyeshe demo ya "strip tease"!!!
Habari ndio hiyo,ni squirting in front of pipo kwa kwenda mbele.
Umeongea pwenti ya maana sana konnie, unaona limama lina hips kama JLo kumbe maboksi matupu, ukifika nae gesti akivua yale maboksi yake tu unamkumbuka Mungu na Evolution. Nyambaaf zao! hapa loya nimeongea kwa hasira sana
KIM KARDASH
Somo mbona mengine makubwa?
Hahahahaha. . . .
Konnie bana.
Hii mambo haihitaji ule mwanga wakuumizana macho. . . .vile mpaka stretchmarks zinahesabika. Kama taa zenu zinapunguzika mwanga basi unapunguza mpaka karibu na mwisho au mnazima zote alafu unawasha mishumaa michache. That way hamna kuhesabiana makovu, stretchmarks zinakuwa kama hazipo na nyama uzembe hazitishi sana kama zipo.
Hahahahaha. . . somo bwana. . . kwahiyo tunaoringa na perege bado kabisa? Basi aibuuu!!Ndio ukubwa huo shosti,ni kweli makubwa lakini ndo starehe yenyewe mwaya,lazima ujifunge kibwebwe sio mtu unakula perege unapita kila mtaa ukitangaza umekula samaki,je ukija kumla pweza ukubwani si ndo utautangazia ulimwengu mpaka ma cnn na bbc watajua....ndo mana naenda na wewe taratibu ati,nataka mwali wangu uwe mkufunzi siku moja iso jina!
Nadhani unaitwa "Slow wind". . . .Ngoja nianze mazowezi
hii generation ya kiduku naweza jikuta naruka majoka badala ya slow dance.
Kuna mwanadada mmoja kwenye wimbo wa R. Kelly sijui unaitwa slow?
Anakinyonga kwa madaha hadi raha.
tena mbafu zao kabisa
umeniambukiza hasira na mie
unachukua mzigo ukiamini ni kiswala, afu kikisaula kinakuwa hipopotamazi, manina zao kabisa.
hehehe Ila bana tuende turudi mimi bana the best strip tease kwangu ni mdada kunivalia kanga ilofungwa kifuani halaf huku chini chupa za bia hazina hata kovu ya upele, zinachungulia chungulia kanga ikikaa upande. Hakyanani naweza nikahonga hela ya ugali yote na kama haikutosha nauza laptop.Hahahahaha. . .
Lawyer bana. . .basi unamchorea kabisa mstari. . .TUSIKARIBIANE.
Yaani wewe acha tu! Ningelikuwa na mchumba mod ningetukana vibaya sana awa mafisadi wa hisia za watu.
Nihonge basi. .hehehe Ila bana tuende turudi mimi bana the best strip tease kwangu ni mdada kunivalia kanga ilofungwa kifuani halaf huku chini chupa za bia hazina hata kovu ya upele, zinachungulia chungulia kanga ikikaa upande. Hakyanani naweza nikahonga hela ya ugali yote na kama haikutosha nauza laptop.