Mayu JF-Expert Member Joined May 11, 2010 Posts 8,684 Reaction score 14,371 Jun 3, 2015 #1 Katika kuonyesha kazi za Nasibu Abdul aka Diamond aka Chibu zinakubalika kona zote na watu mbali mbali maarufu, striker nguli wa Manchester City amepost video kwenye Instagram page yake akimwaga mauno ya songi maarufu la Platnamuz Nasema nawe. Attachments image.jpg 29 KB · Views: 506 Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Katika kuonyesha kazi za Nasibu Abdul aka Diamond aka Chibu zinakubalika kona zote na watu mbali mbali maarufu, striker nguli wa Manchester City amepost video kwenye Instagram page yake akimwaga mauno ya songi maarufu la Platnamuz Nasema nawe.
AdvocateFi JF-Expert Member Joined Jan 15, 2012 Posts 11,492 Reaction score 5,050 Jun 3, 2015 #2 Huyo mchezaji wa Man city huwa ana tuhuma za kujihusisha na ndoa za jinsia moja( ushoga) kwahiyo usishangae sana mkuu.
Huyo mchezaji wa Man city huwa ana tuhuma za kujihusisha na ndoa za jinsia moja( ushoga) kwahiyo usishangae sana mkuu.
Mchiwa Ng'ambaku JF-Expert Member Joined Jan 24, 2015 Posts 959 Reaction score 803 Jun 3, 2015 #3 Ulaya wakisema yeees nani wa kusema noooo!
AdvocateFi JF-Expert Member Joined Jan 15, 2012 Posts 11,492 Reaction score 5,050 Jun 3, 2015 #4 Pia huyo mchezaji kila siku anapigwa bench, kwahyo hiyo ni njia ya kutoa stress
mzurimie JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 6,143 Reaction score 3,628 Jun 3, 2015 #5 Shardcole said: Huyo mchezaji wa Man city huwa ana tuhuma za kujihusisha na ndoa za jinsia moja( ushoga) kwahiyo usishangae sana mkuu. Click to expand... Weka link ya hiyo habari Kama haumpendi Diamond acha kuchafua watu na habari za uongo Sema lingine Acha wivu khaaaaaaaaaa roho inakuuma
Shardcole said: Huyo mchezaji wa Man city huwa ana tuhuma za kujihusisha na ndoa za jinsia moja( ushoga) kwahiyo usishangae sana mkuu. Click to expand... Weka link ya hiyo habari Kama haumpendi Diamond acha kuchafua watu na habari za uongo Sema lingine Acha wivu khaaaaaaaaaa roho inakuuma
mxsdk JF-Expert Member Joined Aug 11, 2014 Posts 3,584 Reaction score 2,056 Jun 3, 2015 #6 Dogo diamond hana mpizan east Africa na kati.haters mifupa itawatoka km wa Kule rombo..
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,112 Reaction score 72,581 Jun 3, 2015 #7 Hhhhhaaaaaa