Ngoja nikushauri sijui nini badala ya kuwa end user wa vitu wanavytengeza watu jifunze wanavitengenzaje
Sasa basi nakushauri jaribu kubadilisha hiyo image uliyoweka hapo juu . Tafuta jinsi ufanye editing badala ya neno start indike sijui nini. Uifanikiwa zoezi hilo utakuwa umejifunza vitu . vidogo vidogo lakini vinakungezea maarfifa