Stress nini

Stress ni pale kifurushi cha MB kinakata usiku wa manane(mpesa,tigopesa,airtel money na vocha huna) na upo katikati ya ubishi na hautaki kushindwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Stress ni pale unaishi kwa wakwe halafu kila siku unaamka saa tatu na taulo lako nje unapiga mswaki na unakohoa kwa sauti mpaka wakwe wanakusikia.. khoo khoooh 😛😛😛 huku ukijua kabisa hapo sio kwako
 
Stress ni pale kifurushi cha MB kinakata usiku wa manane(mpesa,tigopesa,airtel money na vocha huna) na upo katikati ya ubishi na hautaki kushindwa.
hii kweli stress inshankuta [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3]
Ila sikua nabishana umeme ulikatika kote sina pesa simu 7%chaji weeerr......

naongea na mahabubaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahhahaha pole jamani. Usiku unakua mrefu ghafla.
hii kweli stress inshankuta [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3]
Ila sikua nabishana umeme ulikatika kote sina pesa simu 7%chaji weeerr......

naongea na mahabubaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Stress ni pale unapofikisha umri wa kuolewa halafu Kila siku Vidume wanakukopa.
 
Stress Ni Pale Umtongoza Demu Akiwa Pekeake Siku Mnatoka Nae Out Anakutambulisha Marafiki Zake Unakuta Ni Visu/Hottier,Cuter 100000 Times Than Her. Unabaki Unajiuliza " Why Da **** Didnt I Wait"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Dats Stressful
 
Stress ni pale unaponaswa kwa kutamka 'Faru Joni 'na wale wazee wa miwanj myeusi...kisha wanaziponda korodani zako kwa nyundo...
 
Stress ni pale unapiachana na mme/mke kwa tabia mbaya lakimi ulao/ukaolewa na mwingine mwenye tabia mbaya zaidi kuliko yule wa mwanzo!
 
Stress ni pale wanaokutongoza na kukujali huwapendi, unaowataka wanajifanya kama hawakuoni na hawakujali.[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…