Lady Janet
Senior Member
- Oct 9, 2016
- 167
- 161
Stess ni pale unapokwenda kwa bwanaako tena baada ya kukuita ukakuta anagegeda demu mwingine*Stress ni pale umeenda kijijini kwa bibi ako huku umebeba jeans zako tano zile ja mtindo wa kuchanika (chanika jeans) sasa siku ukazifua ukazianika ukaenda zako kutembea ile unarudi jioni unakuta bibi yako kazianua afu kazishona zote*
stress ni pale morinho anapomuweka benchi Carrick na kumuanzisha FellainStess ni pale unapokwenda kwa bwanaako tena baada ya kukuita ukakuta anagegeda demu mwingine
Stress ni pale unapokuwa na njaa halafu watu wanasema kuna chakula cha kutosha
Hii ndo stress haswaStress ni pale unapomlazimisha mtu muachane halafu akishaoa/kuolewa baadae unagundua ndiye alikufaa ktk ndoa. Ogopa.
tena imewagharimu walio wengi!Hii ndo stress haswa