CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
hii nimeipenda nami nitakua naitumia hii sana
Mi nafungulia muziki sauti kubwa basi,inatuliza kidogo
hongera bana. ni Madame B
I mean Quality Centre
nitalamba hata dawa ya mswaki.
whenever im stressed up i do crying alot, chillin all alone n jus to think about me, ido alot of be quite jus to watch over some peeps talking. Wat about u guys what do u do to be free from stressed situation.
Mi napenda nichat online or sms nikiwa stressed, kwenda Beach, kujinunulia vitu ninavyopenda kama Chocolate na kuangalia Movie za kuchekesha, usiangalie Movie za kukupa hasira au huzuni unapokuwa stressed, unajiumiza kichwa, but ukijisikia kulia, lia kwanza, kula ushibe, kunywa dawa ya kutuliza maumivu ya kichwa kama umelia sana, then kama ni kwenda Beach, au kuangalia Movie za kuchekesha, kina Bean, Little Man etc ukiwa pembeni na juice nzuri, Chocolate etc do that uenjoy, Movie za kuchekesha zitakufariji sana kuliko pombe too much kama watu wengi wanavyofanya,ni poa pia hata ukiangalia na Company, sio ya waliokuudhi, ili akili yako itekwe na iwe na amani na furaha kupitia that Movie
halafu sasa uwe na stress kibao,ukipata unakimbilia kula bagautakuwa obesed mwayego!
wewe ushapata stress kweli au unatania. au unafikiri kukolofishana na mpenzio ndo stress!?. unacheza.
Ndo nin hiyoo bilabila kwan ukikua unamashindano labda? Coz kama we mtu mzima ujue kuuliza si ujinga
Hivi we dubu unadhan ukolofi wa mpenzi ndo unifanye niwe stress there are some stuffs bana na sio mapenzi. Muone macho yqmekutoka
hahahahaha mkiwezeshwa mtaweza..
Mtu mzima ulimwonaga wapi.
My judgement ndo ananipunguzia stress na sijamuona atiiihahahahaaaa....!!!. mkuu njoo kwangu nikupunguzie stress. mmwaaaaa....!!!
My judgement ndo ananipunguzia stress na sijamuona atiii
Laaziz sikupatapo kuisoma bt kwasasa najihis mwenye kuijua hito hadith n besides im glad u here n ireal real desperately micing uu loove.Usishangae Malav! Ni kama story ile ya "Aladini na taa ya ajabu!"
ulipatapo kuisoma?
Mara tu Aladini alipohitaji/alipojisikia ombwe, na hisia kumpelekea in some demand, alipoigusa tu a Miracle-Lamp, suddenly kitu kile kilimtokea mbele yake!
Niko mbele zako Beibe!
Sema hun!
Saa zote ndiyo zishakua kamili now!
Laaziz sikupatapo kuisoma bt kwasasa najihis mwenye kuijua hito hadith n besides im glad u here n ireal real desperately micing uu loove.