imekaaa njema LOL sema ww amekosea kdg
hahaha...lol, huyo loya hana issue kabsaa.....mwongeze tena na tablet mwenzake mje wote!!!basi na mimi utanikuta na my loya au kirusha roho.
hee..dah, wasalimu sana huko..mwambie aunt namletea kitenge kizuriii + mwali, mimi nitakuja huko wakati wa kuvuna...Nakumiss sana pia my dear Rejao, mie nipo sema sio kiviiiiiiile!!!! ....nipo huku kijijini nimekuja kuwasaidia kupalilia ili angalau msimu wa mavuno ukiwadia nisinyimwe chochote kitu lol...naimani wewe hujambo afu shangazi jana alikuulizia sana.
Hehehehe ! ....sipati picha shangazi atakavyofurahia lol....anavyopenda vitenge!! huyo mwali hakikisha ni wa nyumbani manake akiwa 'chasaka' utajibeba nae....hee..dah, wasalimu sana huko..mwambie aunt namletea kitenge kizuriii + mwali, mimi nitakuja huko wakati wa kuvuna...
Cantalisia, subiri siku akikusaliti ndo utajua shubiri ya penzi.
kwa hilo usjali kabisa....ni wa kule kule....tena ni mtaalam sana wa kutengeneza machalari na ngararimu!!Hehehehe ! ....sipati picha shangazi atakavyofurahia lol....anavyopenda vitenge!! huyo mwali hakikisha ni wa nyumbani manake akiwa 'chasaka' utajibeba nae....
Heeee...wanaotaka kujinyonga na wajinyonge!!
Much love ma darling!
:A S kiss::A S kiss::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
Bishanga jaman mbona tunaombeana mambo mabaya jana!kwan ww hufurahii tunavopendana na mme!
Hehehehe ! ....sipati picha shangazi atakavyofurahia lol....anavyopenda vitenge!! huyo mwali hakikisha ni wa nyumbani manake akiwa 'chasaka' utajibeba nae....
kwa hilo usjali kabisa....ni wa kule kule....tena ni mtaalam sana wa kutengeneza machalari na ngararimu!!
kwa hilo usjali kabisa....ni wa kule kule....tena ni mtaalam sana wa kutengeneza machalari na ngararimu!!
Darling wifi
sweetlady haya ni majungu au?yani mie miaka miwili huku UK ndio niwe chasaka jaman!