Stress free zone

Babu Asprin ----- Mwakyembe, klorokwini---- Maji marefu, Bishanga ---- Malechela na Kipipi---- Sofia simba lol!

hehehe pia kuna tetesi kwamba Erickb52 ni rashidi matumla, Kongosho ni shyrose bhanji, Rejao ni dudubaya, kuna mmoja lakini tutaficha ID yake, huyu imesibitika kabisa kwamba ni Bibi cheka. Halaf mimi nashangaa sjawahi kusema lakini kumbe watu washanishtukia kwamba ni Bakhresa, JF kwa kufuatilia watu bana
 
Last edited by a moderator:
Baresa gani wakati unafuatilia ile hela kwa Supaman kuliko hata Man of ze yea mwenyewe.

Tena uache, mie kama mke mdogo wa Asprin nakuonya.

 
Last edited by a moderator:
Hahahah hahha hahhas loya klorokwini umetisha lol!

Plz ni pm Bibi cheka hahhahahha!

Ila hapo kwa mme wangu Rejao lol!,haiwezekan kwan ungekuta nishatoa ushuhuda humu!!!
 
Last edited by a moderator:
Baresa gani wakati unafuatilia ile hela kwa Supaman kuliko hata Man of ze yea mwenyewe.

Tena uache, mie kama mke mdogo wa Asprin nakuonya.

 
Last edited by a moderator:
Hii tag vipi leo? inaniharibia siku sana khaa! ngoja nijaribu tena, BAGAH
 
Last edited by a moderator:
Afu we Kongosho asali ya odm hebu nambie huyu fellow tablet klorokwini ameshaisoma hii yuziful post na kuiogongea like kwa msisitizo wa kwenye red hapo?

Halaf karibuni nitaanza kujipakazia mimi ndio Asprin nipate kuwapreeze kiulaini hawa vijukuu vyako. GGia ya uzee inalipa fellow tablet,lawyer nimestukia
 
Last edited by a moderator:
Baresa gani wakati unafuatilia ile hela kwa Supaman kuliko hata Man of ze yea mwenyewe.

Tena uache, mie kama mke mdogo wa Asprin nakuonya.

Nilikuwa natania tu, nina mpango wa kuanzisha kiwanda cha ice cream ya korosho huko kiborloni. Tuma CV yako kama bado hauna kibarua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…