Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Ubusy mwingi mnooMimi pia salama
Naona bado kimya sana, wenyeji bado wako busy eeehhh!!
Ubusy mwingi mnooMimi pia salama
Naona bado kimya sana, wenyeji bado wako busy eeehhh!!
KweliUbusy mwingi mnoo
Sakayo umejaliwa sura mama ngoja nibandike picha yako ukutani kwa matumizi binafsiKho Kho Kho Kho Kho Kho Kho Kho Kho Kho

Dada ukuje huku jaman unaitwa
Nipigie sounds walau nimpateDada ukuje huku jaman unaitwa

AiseeeNipigie sounds walau nimpate
Utapata commission yako Mama
Ujue I'm not good kwa kuimbisha so naweza sema mie na nikaja haribu
Kwahiyo before things get worse we ujifanye mie
Sawa???
Kiswahili cha Kenya ni shida![]()
![]()
![]()

huyo dada angu ujue yaan ebu ngoja akujeNgoja nisubirie maana hapa mwembeni kuna kabaridi balaa sijui atakujaAiseeehuyo dada angu ujue yaan ebu ngoja akuje
Hebu ondoa picha ya mgonjwa

Hiyo ni kama picha zingine za kawaida bila kujali hali ya muhusika.Hebu ondoa picha ya mgonjwa
Bado tupo kwenye maombi nyie mshaanza kumtumia
Ondoa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
OndoaHiyo ni kama picha zingine za kawaida bila kujali hali ya muhusika.
Nitaondoa nitakapopenda mkuuOndoa
We baki na michepuko yako kwanza,halafu mfikishie salamu zangu Ney mwambie nammiss



AbeeeeeeeeDada ukuje huku jaman unaitwa
Kila ukiitumia ulete malipo nkupe risiti
Mambo mrembo wa kichwaNapita kuwasalimia wapendwa