Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
Sina pa kukimbilia mama habari yako?Kanitoroka tangu juzi ujue?
Wee Kichwa Kichafu nakutafuta ujue
Hadi nakumiss ndo nini kunifanyia hiviPenda sana weye.
Siku mingi kipenzi!
Unapotea sana hadi carba anaanza kunisumbua hapa.Sina pa kukimbilia mama habari yako?
Fuleshi,za wewe?Sina pa kukimbilia mama habari yako?
Jomonii wema upii tena huo KK
Si hivyo bibie nw nimerudi ondoa hofu.Hadi nakumiss ndo nini kunifanyia hivi
Haya bora nimekuona,acha nikalale sasaSi hivyo bibie nw nimerudi ondoa hofu.



Nani huyo kaleta taarifaFuleshi,za wewe?
Nasikia wazurura tu mmu huko
Ulioutenda hapo mwanzo kwa SakayoJomonii wema upii tena huo KK
Haya Twende mama.Haya bora nimekuona,acha nikalale sasa![]()
Nilikuona unajibebisha kwa nani yuleee,pisi sijuiNani huyo kaleta taarifa![]()
Mbona ningekuaga mrembo



We baki na michepuko yako kwanza,halafu mfikishie salamu zangu Ney mwambie nammissHaya Twende mama.
Uliona vibaya ilikuwa salam tuNilikuona unajibebisha kwa nani yuleee,pisi sijui![]()
Tunakwenda wote kudhibitisha sina mchepukoWe baki na michepuko yako kwanza,halafu mfikishie salamu zangu Ney mwambie nammiss

Neybright hakukwambia umri wangu?Unataka na we uitwe hivyo kwani KK na we ni mtoto
Wee naijua yoteTunakwenda wote kudhibitisha sina mchepuko![]()
![]()
![]()





