Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Habari yakoNgoja nisubirie maana hapa mwembeni kuna kabaridi balaa sijui atakuja
Nisije chomeshwa mahindi
Habari yakoNgoja nisubirie maana hapa mwembeni kuna kabaridi balaa sijui atakuja
Nisije chomeshwa mahindi
Unaibuka leo wakati jana umetafutwa ukawa hupatikaniKila ukiitumia ulete malipo nkupe risiti

Ni ubusy tu mkuu...Unaibuka leo wakati jana umetafutwa ukawa hupatikani![]()
Fursa hii dada lake ya kupiga cha juuAiseeehuyo dada angu ujue yaan ebu ngoja akuje
Yote kheri lakiniiSema tu nilikuwa na mwingine![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Si heri hata kidogoYote kheri lakinii
MmmmhSi heri hata kidogo
Nina wivu mbaya zaidi ya nanihii ambaye hata jani tu likigusa nanihii lazima nilipotezee uhai wake
Don't play with my mind
NdioMmmmh
Poa za weweMambo mrembo wa kichwa
HayaNdio
SafiPoa za wewe
Upo bibie?Poa za wewe
Unaitwa na huyo mukenya jaman dadaAbeeeeeeee
Wazima shikamooHuku wazima
Wewe wa kishua! Mboga 9 na zote hamna hata 1 ya majani. Huwezi kula Kongoro.Na mimi nataka
Nimeona mdogo wanguUnaitwa na huyo mukenya jaman dada
Me sio wa kishua slim hizo mambo huku uswazi kwetu ndio zetu ujueWewe wa kishua! Mboga 9 na zote hamna hata 1 ya majani. Huwezi kula Kongoro.