its true
Hahaaa...Yale ya ng'ombe shunnie anayajua
Mshakuwa wanasiasa! Tangu mseme mnakuja, hata kama kande zingeshaiva!Twende tukale mapupu
Hivi kwani yale ya ........... hayako hivi?![]()
![]()
ngoja cuzoo aje huwa nayaona yakishakatwa sasa sijui ndo hayaaa


Fanya imagination na yale ya Ng'ombe yanapokaa!Eti ndo haya![]()
![]()
Mama wawili wangu huyo mkuu.
Safi sana MkuuMama wawili wangu huyo mkuu. Heshima kwako na wewe