Kwenye mapinduzi ya kiraia, defense forces huwa hazikimbilii kufurusha watawala. Huwa zinaingilia kati baadaye sana kutanzua stalemate inayoweza kutumbukiza taifa kwenye civil war. Fuatilia struggles zote za aina hii elsewhere. Majeshi hayakuchukua hiyo extraordinary step mwanzoni mwanzoni.