Mvaa Tai
JF-Expert Member
- Aug 11, 2009
- 6,159
- 4,443
:msela:.....
size doesnt count....muhimu ni kukumbuka mbinu ulizopewa kwenye jando....:shock:
Ubarikiwe sana kwa hili Mtaa wa RR
Jandoni wanafundisha kupigana??
Acheni roho wa Bwana atawale maisha yenu
Self defence....tuliambiwa wanawake wana nguvu sana...usikubali akukamate :heh:.....ukiona unazidiwa basi ruka kichwa kwa mtindo wa kondoo dume...:kev:
Si bora ukimbie tu....
Wako so strong...yet so tender......
Only GOD knows. Asante St.Hivi nguvu mnazioga wapi..........ukianzia ile ya kusubiri 38weeks...
mmh mbona unaongea point?UNATAKA KUFA NIN?
ooh pls dnt go rr wangu i just stl nid u:A S kiss:!!!!!
Hi luv...umepotelewa wapi.....hii dedikeshen yako ujue....
EHH JAMAN...dah asante mwaya
mio nikajua tupo weng umu...kumbe m stll one n only 2u?
teh teh teh rrraha jaman...:A S kiss:!!!!!!