STRAWBERRY KWA JUMLA KUTOKA IRINGA

STRAWBERRY KWA JUMLA KUTOKA IRINGA

Strange15

New Member
Joined
May 28, 2013
Posts
2
Reaction score
1
Natafuta mtu anayeuza strawberry yenye quality nzuri kwa jumla kutoka Iringa na anaweza kusafirisha Dar Es salaam.
 
Natafuta mtu anayeuza strawberry yenye quality nzuri kwa jumla kutoka Iringa na anaweza kusafirisha Dar Es salaam.
Kwa nini unataka za Iringa, za Morogoro hutaki?
Zikija Dar na joto la mji, si zitaharibika!
 
Mimi natafuta anae uza mbegu zake...
 
Kwa nini unataka za Iringa, za Morogoro hutaki?
Zikija Dar na joto la mji, si zitaharibika!

Mimi hua nanunua za Iringa na wateja wangu ndio wanazipenda sana,nishawahi kuwauzia za moro Lakini hawakuzipenda.
 
Mimi natafuta anae uza mbegu zake...
Ninayo mkuu ya kutosha aina chandler bei Ya mche 1500/= no 0622 542405 tupo Iringa karibu
 

Attachments

  • IMG_20170925_183529.jpg
    IMG_20170925_183529.jpg
    133.6 KB · Views: 27

Similar Discussions

Back
Top Bottom