M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Oct 30, 2014 #2 Toba hata viumbe nao wana ma ajabu hivi au ndo dalili ya mvua ni mawengu ndo mwisho wa dunia maana kila kukicha ni vituko na ma ajabu ya mwana adamu
Toba hata viumbe nao wana ma ajabu hivi au ndo dalili ya mvua ni mawengu ndo mwisho wa dunia maana kila kukicha ni vituko na ma ajabu ya mwana adamu
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Oct 30, 2014 #3 Daa kumbe sio kwetu tu
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,545 Reaction score 30,108 Oct 30, 2014 #4 Mutation can occur in any living organism..
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,098 Oct 30, 2014 Thread starter #5 Otorong'ong'o said: Mutation can occur in any living organism.. Click to expand... Ni kama aina fulani ya ulemavu
Otorong'ong'o said: Mutation can occur in any living organism.. Click to expand... Ni kama aina fulani ya ulemavu
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Oct 30, 2014 #6 View attachment 197689 Hawa chakula kama hakiwatoshelezi lazima wagombanie pamoja wapo mwili mmoja