Strange cars from around the World!!!!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,896
Reaction score
15,124


Kwa wenye kupenda kufanya kazi kwenye foleni za magari, suluhisho hili hapa!
Lakini trafiki hakupendezwa sana!!!
 


Twanga kote kote baba!
Unaweza kwenda mbele na kurudi nyuma kwa spidi ile ile!!!
 


Kwa wenzangu na miye, drive and sleep, anywhere any time!!!
 


Kwa wapenda msosi wakati wowote!!
Three course meal after a long drive!!
We paki tu pembeni mwa barabara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…