masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,173
- 13,776
Siyo siri, huwa nakerwa sana na tabia ya wana JF kuingiza maneno ya matusi.
Hata hivyo niliingia mtego huo huo wa kumrushia tusi kwa tusi, member aliyenitukana ya nguoni nami nikamrudishia ya nguoni.
WRONG!
Nikaishia BAN.
Hata hivyo baada ya hasira nikamsamehe mtu huyo, nami nikapata jibu langu mwishoni mwa wiki nikiwa narudi nyumbani jioni.
Samehe, usamehewe!